*Nikutoka 556 mwaka 2016 hadi 104 mwaka jana
Na Patricia Kimelemeta, Gazetini
SERIKALI imeweza kupunguza idadi ya vifo vya mama mjamzito kutoka 556 kwa Mwaka 2016...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake...
*Lawataka WAVIU kuamka wakatae utegemezi
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
Katika tukio la kihistoria lililomjumuisha Bodi mpya ya uongozi wa Baraza la Kitaifa la Watu Wanaoishi na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwaelimisha na kuwajenga vijana katika maadili mema, kuwaepusha na maambukizi ya VVU na kudhihirisha jitihada za...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2023, imelirudisha kundi la Habari za Gesi, Mafuta...
*Vipengele vya Gesi, Teknolojia na Sensa vyaondolewa sababu ya ufadhili
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania...
Na Veronica Simba, Gazetini
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika Mwaka huu wa Fedha (2023/24), umetenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya...
*Kunufaisha zaidi ya wananchi 350,000
Na Faraja Masinde, Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amezindua mradi wa ReSea unaolenga uhifadhi wa maeneo makubwa ya...