24.6 C
Dar es Salaam

Jamii

Tanzania yapunguza vifo vya mama wajawazito mara tano zaidi ya mwaka 2016

*Nikutoka 556 mwaka 2016 hadi 104 mwaka jana Na Patricia Kimelemeta, Gazetini SERIKALI imeweza kupunguza idadi ya vifo vya mama mjamzito kutoka 556 kwa Mwaka 2016...

Waliofariki Katesh wafikia 63, majeruhi 116

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na...

GGML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Majaliwa aipongeza GGML mapambano dhidi ya UKIMWI, maambukizi mapya yashuka

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa...

Rais Samia kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia kwa wanawake Afrika

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake...

Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (NACOPHA) latangaza Uongozi mpya

*Lawataka WAVIU kuamka wakatae utegemezi Na Mwandishi Wetu, Morogoro Katika tukio la kihistoria lililomjumuisha Bodi mpya ya uongozi wa Baraza la Kitaifa la Watu Wanaoishi na...

Dk. Yonazi: Waelimisheni vijana maadili mema ili kuwaepusha na maambuki ya VVU

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwaelimisha na kuwajenga vijana katika maadili mema, kuwaepusha na maambukizi ya VVU na kudhihirisha jitihada za...

Dk. Yonazi aridhishwa na maandalizi ya Kuelekea Siku ya UKIMWI Duniani

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea...

Kipengele cha Gesi, Mafuta na Madini charudishwa tuzo za EJAT

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2023, imelirudisha kundi la Habari za Gesi, Mafuta...

Tuzo za EJAT 2023 zazinduliwa Dodoma

*Vipengele vya Gesi, Teknolojia na Sensa vyaondolewa sababu ya ufadhili Na Faraja Masinde, Gazetini Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania...

Visual| Namna REA itakavyogawa gesi nchini

Na Veronica Simba, Gazetini Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika Mwaka huu wa Fedha (2023/24), umetenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya...

Mradi wa ReSea wazinduliwa Tanga

*Kunufaisha zaidi ya wananchi 350,000 Na Faraja Masinde, Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amezindua mradi wa ReSea unaolenga uhifadhi wa maeneo makubwa ya...

Recent articles

spot_img