Na Faraja Masinde, Gazetini
Agosti 23, mwaka huu Tanzania inatarajia kufanya Sensa ya Watu na Makazi ikiwa ni sensa ya sita kufanyika tangu Muungano wa...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Asilimia 53 ya wanaume ambao hawana elimu wanaongoza kuwafanyia ukatili wenza wao.
Utafiti pia unaonyesha kuwa asilimia 42 ya wanawake waliowahi kuolewa...
Na Faraja Masinde, Gazeti
Kwa miaka ya nyuma suala la usajili wa watoto na kupata vyeti vya kuzaliwa ilikuwa siyo kipaumbele cha wazazi walio wengi,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kwa mujibu wa Utatifi wa Demografia na Afya Tanzania wa mwaka 2010 ulikadiria kuwa asilimia 26 ya watoto waliozaliwa katika kipindi...
Utafiti wa TDHS-MIS 2015-16 unaonyesha kuwa 42% ya wanawake wa mijini ni wazito au wanene mara mbili zaidi ya wale wa vijijini.
Uzito uliokithiri na...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/2023.
Dk. Nchemba amewasilisha...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Katika kuhakikisha kuwa inakabiliana na makali ya ukosefu wa ajira, Serikali imepanga kutengeneza ajira za wanawake na vijana milioni 3 kote...
Na Faraja Masinde, Gazetini
SERIKALI imeagiza kusajiliwa kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano na kwamba huduma hiyo inatolewa bure.
Wito huo umetolewa Juni...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali imeanzisha Mfuko maalumu utakaowasaidia wanafuzni wanaotoka katika mazingira magumu ili waweze kumudu masomo yao nakupunguza utegemezi kutoka kwa watu mbalimbali...