8 C
New York

Chart| Uchumi wa Tanzania wazidi kupaa mwaka 2023

Published:

Na Jackline Jerome, Gazetini

Kulingana na takwimu mpya zilizotolewa mwaka huu na Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF), pato la Taifa la Tanzania kwa bei ya sasa limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 sawa na Shilingi za Tanzania Trilioni 200 kwa mwaka 2023, ongezeko hilo la Pato la Taifa ni kutoka Dola za Marekani Bilioni 69.9 sawa na Shilingi trilioni 163.5 kwa mwaka 2021, wakati ambapo Rais Dk. Samia alipoingia madarakani.

Hiyo inatajwa kama ishara kuwa sera za uchumi za Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan zinaleta mageuzi makubwa nchini, zaidi angali chati yetu hapo chini kuona nafasi ya Tanzania.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img