30.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Kyela Festival kuja na mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Na Grace Mwakalinga, Gazetini- Kyela ASASI ya Kijamii ya Kyela Festival, inayofanya shughuli zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, imepanga kutoa elimu...

200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Arusha ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na kati yao kubainika...

TUI Care Foundation supports the protection and restoration of the marine environment in the Balearics

TUI Care Foundation pledges half a million Euro to support marine conservation in the BalearicsTUI Sea the Change Balearics project restores shallow water bays,...

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML

Na Mwandishi Wetu, Gazetini - Arusha SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi (OSHA) wametoa wito...

IWPG Global Region 2 holds 5th commemoration of April 26 ‘International Women’s Peace Day’ in Ethiopia

*Over 200 attended at Addis Ababa University Global Region 2 of International Women's Peace Group (Regional Director Seo-yeon Lee) announced that they hosted a commemorative...

AGENDA yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mama Sayari Dunia na Malaria duniani

Na Grace Mwakalinga, Gazetini WATU zaidi ya milioni 500 duniani kila mwaka huambukizwa ugonjwa wa malaria unaosambazwa kwa kung’atwa na mbu jike aina ya Anopheles...

Mwenge wa Uhuru kukagua miradi yenye thamani ya Sh Trilioni 8.5 Pwani

Na Grace Mwakalinga, Gazetini-BAGAMOYO ZAIDI ya miradi 120 yenye thamani ya sh. Trilioni 8.5  kati yake, miradi 18 itawekwa jiwe la msingi, 22 itazinduliwa na...

IWPG Global Region 2, Partner Country, Colombia The 6th ‘International Loving Peace Art Competition’

*Hosted in collaboration with Colegio Alfonso López Pumare Ced Farallons School *Delivering the message of peace to children and adolescents through pictures The International Women's Peace...

Dk. Biteko: Mtu wa kwanza kujali usalama wake ni mwajiriwa

*Asisitiza umuhimu wa elimu ya usalama mahala pa kazi *Aipongeza OSHA kuboresha utendaji, ahimiza uhifadhi wa mazingira Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na...

Chart| Tanzania ilivyoshusha maambukizi ya VVU

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tanzania ni kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zinafanya vema katika kupambana na janga la UKIMWI ambapo Takwimu zinaonyesha kuwa...

Bonde la maji Nyamitita hatarini kukauka, wadau wataka hatua za haraka zichukuliwe

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti BONDE la Maji katika Kijiji cha Nyamitita Kata ya Ring’wani wilayani Serengeti mkoani Mara, lipo hatarini kukauka kutokana na shughuli za...

Biteko atembelea banda la GGML maonesho OSHA, aipongeza kudhibiti vifo mahala pa kazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti...