HIVI karibuni Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, alitua kwa mkopo Royal Antwerp ya Ubelgiji akitokea Fenerbahce ya Ligi Kuu nchini Uturuki.
Ifahamike kuwa Samatta...
HIVI karibuni, siasa za Tanzania zilishuhudia Bunge likiazimia adhabu ya kuwafungia vikao viwili wabunge na makada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Josephat Gwajima...
Kwa mujibu wa Matokeo ya Sensa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Mwaka wa Kilimo 2019/2020 yanaonyesha kuwa, kaya nyingi zilikutana na vikwazo mbalimbali...
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hadi kiufikia Jumamosi Agosti 28, 2021 jumla ya walengwa 304,603 wamepatiwa...
KATIKA dhana nzima ya utandawazi, haiepukiki kutaja fursa lukuki za kiuchumi zinazotokana na ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi moja na nyingine. Ni kwa...
HIVI karibuni, bilionea mwenye jina kubwa nchini China, Sun Dawu, alifikwa na hukumu nzito ya miaka 18 gerezani.Mbali ya kifungo, kampuni yake imelazimishwa kulipa...
AGOSTI 17, 2021, ilichezeshwa droo ya hatua ya makundi ya fainali za Afcon 2021 zinazotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 9, mwakani. Jina ‘Afcon 2021’...
TUNAWEZA kukubaliana kuwa matukio ya wapendwa wetu kujiua yamekuwa yakiacha simanzi kubwa kwenye jamii, labda kuliko hata vifo vingine vya ghafla.
Ni changamoto ya maisha,...
MIAKA nane iliyopita, jina la Isabel dos Santos liliteka vichwa vya habari ndani na nje ya Afrika baada ya binti huyo wa Rais wa zamani wa Angola, Jose...