Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mkoa wa Geita ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepakana na Kagera upande wa Magharibi, Shinyanga upande wa Kusini na Mwanza...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tanzania Wildlife Management Authority - TAWA) ilianzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 8 cha Sheria...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Hadi sasa Tanzania imefanikiwa kutoa chanjo ya Polio kwa Watoto 27,952,164 wenye umri chini ya miaka mitano.
Idadi hiyo ni baada ya...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Agosti 23, mwaka huu Tanzania inatarajia kufanya Sensa ya Watu na Makazi ikiwa ni sensa ya sita kufanyika tangu Muungano wa...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Asilimia 53 ya wanaume ambao hawana elimu wanaongoza kuwafanyia ukatili wenza wao.
Utafiti pia unaonyesha kuwa asilimia 42 ya wanawake waliowahi kuolewa...
Na Faraja Masinde, Gazeti
Kwa miaka ya nyuma suala la usajili wa watoto na kupata vyeti vya kuzaliwa ilikuwa siyo kipaumbele cha wazazi walio wengi,...
Na Faraja Masinde, Gazetini
"Sina furaha kabisa na ndoa hii, natamani kutoka lakini kinachonibakisha ni watoto wangu wawili, sitamani tena kuzaa mtoto mwingine nasubiri watoto...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kwa mujibu wa Utatifi wa Demografia na Afya Tanzania wa mwaka 2010 ulikadiria kuwa asilimia 26 ya watoto waliozaliwa katika kipindi...