30.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

GGML yawanoa Wanafunzi Nyamkumbu kuhusu taaluma ya madini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo...

Jafo: Kampuni za madini zingatieni utunzaji wa mazingira, jifunzeni kwa GGML

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameziagiza kampuni zote nchini zinazojihusisha na uchimbajin wa...

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na GGML, mpeni ushirikiano Mavunde

Na Mwandishi Wetu, Gazetini NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameahidi Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwamba Serikali itaendelea...

Wafanyakazi GGML wajitokeza kuchunguzwa saratani

*Madaktari watoa ujumbe kwa jamii Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Ijumaa Septemba 22, 2023 wamejitokeza katika maonesho ya...

GGML yatoa msaada wa vifaa tiba kuboresha afya Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa vifaa...

Makamu Rais GGML atembelea maonesho ya madini Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAKAMU Rais wa kampuni ya AngloGold Ashanti Tanzania-GGML anayeshughulikia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayo leo Ijumaa ametembelea...

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuendelea kuwa mdhamini mkuu wa...

Visua| Hii ndiyo Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Amani

Na Faraja Masinde, Gazetini NI Hifadhi iliyotawaliwa na ukimya mkubwa. Kelele zake utazisikia kupitia ndege tu wanaoruka kutoka tawi moja kwenda jingine wakijitafutia chakula chao...

GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 150 kudhamini...

Rais Samia awakosha wakazi wa Nanyamba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wakazi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Wilaya Mtwara Vijijini wamefurahishwa na uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakuitaka Bandari ya...

Luhemeja awataka Madiwani kuwa Mabalozi wa Usalama na Afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katibu Mkuu - Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhandisi, Cyprian Luhemeja amewataka madiwani wa Mkoa wa...

Serikali: GGML haija-blacklist vijana nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI imekanusha uvumi kwamba Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewa-blacklist vijana ambao wamesitishiwa ajira zao na mgodi huo kwa...