24.6 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Waliofariki Katesh wafikia 63, majeruhi 116

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na...

GGML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Majaliwa aipongeza GGML mapambano dhidi ya UKIMWI, maambukizi mapya yashuka

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa...

Rais Samia kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia kwa wanawake Afrika

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake...

Dk. Magembe: Wanasayansi fikisheni taarifa za utafiti kwa jamii

*Awataka kutumia lugha rahisi ziwafikie walengwa Na Nadhifa Omary, Morogoro SERIKALI imewataka wana sayansi nchini na wadau wa afya kufanya tafiti zitakazosaidia kuleta suluhisho juu ya...

GGML waungana na Biteko kuanika mbinu za mapambano dhidi ya UKIMWI

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa...

Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (NACOPHA) latangaza Uongozi mpya

*Lawataka WAVIU kuamka wakatae utegemezi Na Mwandishi Wetu, Morogoro Katika tukio la kihistoria lililomjumuisha Bodi mpya ya uongozi wa Baraza la Kitaifa la Watu Wanaoishi na...

Dk. Yonazi: Waelimisheni vijana maadili mema ili kuwaepusha na maambuki ya VVU

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwaelimisha na kuwajenga vijana katika maadili mema, kuwaepusha na maambukizi ya VVU na kudhihirisha jitihada za...

Dk. Yonazi aridhishwa na maandalizi ya Kuelekea Siku ya UKIMWI Duniani

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea...

GGML yatoa milioni 17 kupiga tafu ATF Marathon 

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi ya Virus Vya Ukimwi (VVU), Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

Kipengele cha Gesi, Mafuta na Madini charudishwa tuzo za EJAT

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2023, imelirudisha kundi la Habari za Gesi, Mafuta...

Tuzo za EJAT 2023 zazinduliwa Dodoma

*Vipengele vya Gesi, Teknolojia na Sensa vyaondolewa sababu ya ufadhili Na Faraja Masinde, Gazetini Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania...