32 C
Dar es Salaam

Makala

GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha, Ndejembi awafunda

Na Mwandishi Wetu, Gazetini ZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa mafunzo maalum ya usalama na afya kwa lengo la kuwajengea uwezo...

Diwani kufunga kamera shule zote za kata yake kuimarisha usalama wa watoto

Na Grace Mwakalinga, Gazetini DIWANI wa Kata ya Kiwira, wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, Michael Mwamwimbe, ameanzisha utaratibu wa kufunga kamera za ulinzi za kielekroniki (CCTV),...

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML

Na Mwandishi Wetu, Gazetini - Arusha SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi (OSHA) wametoa wito...

IWPG Global Region 2, Partner Country, Colombia The 6th ‘International Loving Peace Art Competition’

*Hosted in collaboration with Colegio Alfonso López Pumare Ced Farallons School *Delivering the message of peace to children and adolescents through pictures The International Women's Peace...

Chart| Tanzania ilivyoshusha maambukizi ya VVU

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tanzania ni kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zinafanya vema katika kupambana na janga la UKIMWI ambapo Takwimu zinaonyesha kuwa...

Dk. Biteko: Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania

*Asema Serikali itaendelea kushirikiana na shule binafsi *Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri...

GGML yaja na teknolojia za kisasa maonesho ya OSHA Arusha

Na Mwandishi Wetu, Arusha KATIKA kuelimisha wananchi na washiriki wa maonesho ya usalama na afya mahali pa kazi namna ya kuzingatia usalama wawapo katika shughuli...

Chart| Mwenendo wa wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)zinaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la matukio ya wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu...

Chart| Miundombinu shuleni bado changamoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Pamoja na jitihada za Serikali za kukabiliana na tatizo la upungufu wa miundombinu ya elimu katika shule ikiwamo kujenga majengo mapya...

Shule 60 Tanzania zitakavyonufaika na mpango wa TWIGA WA KIJANI

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wezesha Binti na Mama Mjasiriamali (WBM) linatarajia kupanda miti 6,000 ndani...

Uhifadhi uwe ni fursa kwa wananchi- Dk. Kalumanga

*Atahadharisha kutokubadili matumizi ya eneo la uhifadhi *JET kujenga wigo zaidi kwa waandishi Na Faraja Masinde, Gazetini-Bagamoyo Tanzania ni kati ya nchi chache duniani zilizobarikiwa kuwa na...

GGML yawapa mbinu wanafunzi Geita Boys kufikia malengo ya kitaaluma

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (Geita Boys)...

Recent articles

spot_img