*Wanafunzi 40 kufaidika na mpango huo
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kudhihirisha dhamira ya kuwajengea wahitimu wa vyuo mbalimbali kukubalika kwenye soko la ajira, Kampuni ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kimeandaa mafunzo ya siku mbili kwa waandishi wa habari za Mazingira kutoka...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali inaendelea na uratibu wa shughuli mbalimbali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na maji kutoka mlima Hanang...
Na Patricia Kimelemeta, Gazetini
Watoto zaidi ya 2,000 wameandikishwa kujiunga na darasa la kwanza kwa Mwaka 2024 ambao ni kati ya umri wa miaka sita...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Gazetini imekufanyia uchambuzi wa Taarifa fupi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa leo Desemba 5, 2023, kuhusu maendeleo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo...
Na Faraja Masinde, Muheza
“Hata sisi walimu tumejifunza kwamba tunapofundisha hatutakiwi kutumia dakika zote 45 darasani hapana, kuna muda wa kuwatoa wanafunzi nje ya darasa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KAMPUNI ya AngloGold Ashanti - Geita Gold Mining Limited (GGML), imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya...
*...yatoa msaada wa madawati 8,823
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kutimiza dhamira ya kuimarisha sekta ya elimu na kuwezesha mazingira ya utoaji elimu nchini kuwa ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika kuhakikisha kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yanadhibitiwa, jamii imeaswa kuelimisha watoto na vijana juu ya athari zitokanazo na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwandishi Faraja Masinde kutoka tovuti ya www.gazetini.co.tz inayo chini ya Gazetini Communications ni kati ya waandishi wa habari 91 waliopitishwa...