27.9 C
Dar es Salaam

Makala

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maonesho ya utalii ya Karibu– Kilifair yanaendelea kukuwa kimataifa na kuwakutanisha wadau wa utalii kutoka maeneo mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema anatamani  kuona Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) inakuwa kimbilio la walimu ambao ni kundi kubwa katika utumishi wa umma...

Elimu bila malipo kuendelea, kuboresha mazingira ya wanafunzi 2025–2030

Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030, kimeweka mkazo mkubwa katika kuboresha maisha ya watoto wa...

Sima apendekeza maboresho haya wizara ya elimu

Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma Mbunge wa Singida Mjini, Musa Sima (CCM), ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuzingatia maeneo matano muhimu ya kipaumbele...

Bunge lapitisha Bajeti ya Trilioni 2.44 wizara ya elimu

Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Sh Trilioni 2.44 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili...

Msanii Chemical apongezwa kufaulu mtihani wa PhD, rasmi ni Dk Lubao

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mashabiki wa msanii wa muziki wa hip-hop Tanzania, Claudia Lubao maarufu Chemical, wamempongeza msanii huyo kwa kufanikiwa kufaulu mtihani wake wa...

TPC Moshi yaboresha elimu kupitia ufadhili na miundombinu ya kisasa

Na Safina Sarwatt, Moshi Zaidi ya wanafunzi 1,000 kutoka familia zenye mazingira duni wamefaidika na mpango wa ufadhili wa masomo ulioanzishwa na Kiwanda cha Sukari...

Kiwanda cha Sukari TPC kinavyochochea maendeleo ya elimu Kilimanjaro

Na Safina Sarwatt, Gazetini-Kilimanjaro Wanafunzi 68 wa kike wa shule ya sekondari ya TPC, mkoani Kilimanjaro, wamepokea ahueni kubwa baada ya kiwanda cha sukari cha...

Rais Samia avaa viatu vya Mwalimu G20

Na Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil RAIS Samia Suluhu Hassan ameyataka mataifa tajiri duniani ya kundi la G20 kutafakari upya namna bora ya kukabiliana...

Shule ya Sekondari Mt. Joachim inavyoandaa vijana kwa maendeleo ya Taifa

Safina Sarwatt, Gazetini-Same Mwaka 2013, Kanisa Katoliki Jimbo la Same lilianzisha shule ya sekondari ya wavulana, Mchepuo wa Sayansi ya Mtakatifu Joachim. Lengo kuu la...

JET yawapiga msasa wahariri kuhusu migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kilifanya mafunzo maalum Septemba 5-6, 2024 kwa wahariri zaidi ya 20 huko...

IWPG Promotes Peace Culture through the International Loving-Peace Art Competition All Over the World

The preliminary rounds of the 6th International Loving-Peace Art Competition were completed in 130 cities across 53 countries. The total number of participants was...

The 3rd IWPG Peace Monument is established in the Philippines

The 3rd Peace Monument of International Women’s Peace Group (IWPG) was established in Green Paradise Park in Kapalong City, Davao del Norte, Philippines. The Unveiling...

Watoto wahamasishwa kutunza Amani kupitia sanaa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mratibu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na Mratibu wa Amani Duniani wa Taasisi ya Kimataifa ya Amani ya Wanawake...

Recent articles

spot_img