25.1 C
Dar es Salaam

Jamii

Infographic| Isabel; Mwanamke tajiri zaidi Afrika anayeteswa na ufisadi

MIAKA nane iliyopita, jina la Isabel dos Santos liliteka vichwa vya habari ndani na nje ya Afrika baada ya binti huyo wa Rais wa zamani wa Angola, Jose...

Ripoti| Utatuzi migogoro changamoto maeneo ya kazi

RIPOTI ya mwaka huu ya Haki za Binadamu na Biashara imebainisha kuwa bado hakuna mifumo ya utatuzi wa migogoro ya kampuni, hasa kwenye maeneo...

Infographic|Nini hatima ya Afghanistan chini ya Taliban

WIKI iliyopita, wachambuzi wa masuala ya kiusalama nchini Marekani walionya, wakisema zimebaki wiki chache tu Kundi la Taliban kurudi madarakani nchini Afghanistan. Ikumbukwe kuwa angalizo...

Uchambuzi|Huyu ndiye aliyemng’oa madarakani Edgar Lungu

HATIMAYE Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemaliza kazi yake ya msingi, kumtangaza mshindi wa kinyang’anyiro cha urais, hatua iliyochukua siku tatu za kuhesabu kura. Mgombea...

Infographic|Hali ilivyo watoto wanaougua saratani ya jicho nchini

TATIZO la Ugonjwa wa Saratani ya Macho (Retinoblastoma) kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano limeanza kushamiri mkoani Mbeya kutokana na idadi...

Infographic|Tunayofahamu kuhusu Bajeti ya Serikali 2021/22

Bajeti mpya ya Serikali tayari imeanza kutumika tangu Julai 1, mwaka huu, huku sehemu ya bajeti hiyo ikiwa ni makusanyo kupitia kodi za wanananchi...

RIPOTI| Kwa mwajiriwa, ishu ni masilahi au afya?

DAR ES SALAAM, TANZANIA KWA bahati mbaya, kipaumbele cha walio wengi huwa ni kupata nafasi ya ajira, shughuli yoyote inayoweza kumuingizia kipato. Hivyo basi, asilimia kubwa...

Recent articles

spot_img