33.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini

Infographic| Uhaba wa ajira ulivyoguswa 2020/21

CHANGAMOTO ya uhaba wa ajira imekuwa kaa la moto duniani kote, hasa kwa nchi zinazoendelea, ikiwamo Tanzania, huku wahanga wakubwa wakiwa ni vijana. Aidha, ongezeko...

RIPOTI| Kwa mwajiriwa, ishu ni masilahi au afya?

DAR ES SALAAM, TANZANIA KWA bahati mbaya, kipaumbele cha walio wengi huwa ni kupata nafasi ya ajira, shughuli yoyote inayoweza kumuingizia kipato. Hivyo basi, asilimia kubwa...

Infographic|Dawa za kuongeza nguvu zilivyotikisa Olimpiki 2021

MICHUANO ya Olimpiki inaendelea huko Tokyo, Japan, huku ikitarajiwa kufikia ukomo wake Agosti 8, mwaka huu. Ikumbukwe ni mashindano yaliyopaswa kufanyika mwaka jana lakini...

RIPOTI: NMB na mafanikio yake Nusu Mwaka 2021

Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha Nusu ya Kwanza ya mwaka 2021.  Faida baada ya kodi ya mapato imeongezeka...

Infographic: Elimu zaidi inahitajika chanjo ya corona

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM   “Kwa namna hali ilivyo siwezi kuruhusu hata wanangu wachanjwe hii chanjo ya corona, kwani imekuwa na mazingira mengi yanayotia...

Olimpiki 2021; Nani kuivua ubingwa Brazil?

TOKYO, JAPAN HUKU zikisikiliziwa ligi kubwa tano za Ulaya, mashabiki wa soka ulimwenguni watazitumia wiki chache za hivi karibuni kujipoza na michuano ya Olimpiki itayoanza...

Infographic| Mwenendo wa watumiaji wa huduma za benki Tanzania

Wakati sheria ya ongezeko la tozo za miamala ya simu iliyoanza kutumika nchini Julai 15, mwaka huu, ikilalamikiwa kila kona, Watanzania walio wengi wameanza...

Infographic| Tanzania inavyopambana kufikia lengo la kutokomeza UKIMWI 2030

NA FARAJA MASINDE MALENGO ya Dunia ni kuhakikisha kuwa janga la Virusi vya UKIMWI linabaki kuwa historia ifikapo 2030. Tanzania nayo kama mwananchama wa Umoja wa...

Infographic| Tunayofahamu kuhusu Bandari ya Dar es Salaam

NA MWANDISHI WETU Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema maboresho makubwa wanayoendelea kufanyika yataiwezesha kuongoza kwa kuwa bandari kubwa inayopokea magari mengi Afrika Mashariki hadi...

Infographic: Kulinda ndoa kunavyofifisha ndoto za Wasichana Kilosa

NA FARAJA MASINDE “Ukifika kwenye eneo la ukatili wa kingono na ubakaji wanafunzi wanakuuliza…Madamu kwa mfano sasa ndio umebakwa umepata ujauzito, naweza nikarudi shule kusoma? Hili...

Infographic: Adhabu inayowakabili wasioajiri watu wenye ulemavu

Tanzania ilisaini na kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watu Wenye Ulemavu ambao pamoja na mambo mengine unazitaka nchi wanachama kuchukua hatua katika...

Mitindo ya nywele kwa wanawake wenye vipara usoni

NA BRIGHITER MASAKI, DAR ES SALAAM Nywele zilizonakishiwa ni moja wapo ya alama inayotambulisha urembo wa Mwanamke husika. Kuna namna nyingi za kunakshi nywele zako, wapo...

Recent articles

spot_img