JUMAPILI Januari 9, 2022 kivumbi cha Fainali za AFCON 2021 kiaanza kutimua vumbi nchini Cameroon.
Jina ‘Afcon 2021’ limetokana na ukweli kwamba michuano hii ilitarajiwa...
Sekta ya Mifugo ni miongoni mwa maeneo ambayo Tanzania imekuwa ikiyatumia katika kuingiza fedha za kigeni ikiwamo pia utoaji wa ajira kwa Watanzania.
Hata hivyo,...
CHANGAMOTO za maisha ikiwamo ukosefu wa mahitaji muhimu kwa wasichana walioko shule ni moja ya vichochezi vinavyosababisha wengi kuishia kupata ujauzito hali inayokosesha fursa...
UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni.
Hata hivyo, ukuaji huo...
Ripoti ya Utafiti juu ya Upataji Elimu ya Awali kwa Watoto wenye Ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa Septemba, 2021 na Shirika la Haki Elimu Tanzania uliohusisha maeneo matatu...
Tatizo la Dawa za Kulevya lina madhara makubwa katika Maisha ya wananchi, uwezo wa raslimali watu na maendeleo endelevu ya nchi.
Kwa kutambua athari hizo...