26.6 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Wanawake wa mijini ni wanene mara mbili zaidi

Utafiti wa TDHS-MIS 2015-16 unaonyesha kuwa 42% ya wanawake wa mijini ni wazito au wanene mara mbili zaidi ya wale wa vijijini. Uzito uliokithiri na...

Visual| Tunayofahamu kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023

Na Faraja Masinde, Gazetini Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/2023. Dk. Nchemba amewasilisha...

Wanawake na Vijana kunufaika na ajira milioni 3

Na Faraja Masinde, Gazetini Katika kuhakikisha kuwa inakabiliana na makali ya ukosefu wa ajira, Serikali imepanga kutengeneza ajira za wanawake na vijana milioni 3 kote...

Serikali na mkakati wa kusajili watoto wote nchini

Na Faraja Masinde, Gazetini SERIKALI imeagiza kusajiliwa kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano na kwamba huduma hiyo inatolewa bure. Wito huo umetolewa Juni...

Serikali yatenga Bilioni 8 kusaidia watoto wanaotoka familia maskini

Na Faraja Masinde, Gazetini Serikali imeanzisha Mfuko maalumu utakaowasaidia wanafuzni wanaotoka katika mazingira magumu ili waweze kumudu masomo yao nakupunguza utegemezi kutoka kwa watu mbalimbali...

Visual| Kwanini uwekeze kwa Mkunga

Na Faraja Masinde, Gazetini Maisha ya wanawake 556 wanaofariki dunia kutokana na uzazi yanaweza kuokolewa iwapo tu uwekezaji utafanyika kwa Wakunga. Aidha, vifo vya watoto 67...

Visual| Ushamiri wa VVU nchini Tanzania

Hali ya Ushamiri kwa kila Mkoa(%) Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha kuwa inatokomeza janga la UKIMWI kufikia mwaka 2030 kama ilivyo pia katika...

Visual| Watoto wanavyokosa haki ya kunyonyeshwa

Kama inavyofahamika kwamba Unyonyeshaji una faida kubwa kwa mama na mtoto ikiwemo uimarishaji wa afya ya akili katika maendeleo ya mtoto, kuwalinda watoto dhidi...

Visual| Kuchukulia poa chanjo ya Uviko-19 kunavyogharimu maisha

Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali,...

Infographic| Idadi ya watu Afrika Mashariki kufikia mwaka 2050

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Infographic| Ukatili dhidi ya wanawake bado mwiba nchini

Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba. Kwani licha ya...

Ripoti| Wafanyakazi wengi wanatishwa kazini Tanzania

Machapisho mbalimbali yanaitafsiri Kazi kama ni seti ya shughuli ambazo zinafanywa kwa ajili ya kufikia lengo, kutatua shida au kuzalisha bidhaa na huduma ili...