25.9 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Visual| Namna REA itakavyogawa gesi nchini

Na Veronica Simba, Gazetini Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika Mwaka huu wa Fedha (2023/24), umetenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya...

Mradi wa ReSea wazinduliwa Tanga

*Kunufaisha zaidi ya wananchi 350,000 Na Faraja Masinde, Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amezindua mradi wa ReSea unaolenga uhifadhi wa maeneo makubwa ya...

GGML ilivyong’ara usiku wa madini, yatwaa tuzo mbili

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mchango wa Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) umeendelea kutambuliwa na wadau mbalimbali wa sekta ya madini...

Mabadiliko tabianchi kikwazo Ajenda 10/30

Na Faraja Masinde, Gazetini Mabadiliko ya tabianchi imeelezwa kuwa moja ya changamoto inayoathiri sekta ya kilimo nchini hatua ambayo imesababisha hata mbegu zilizopo kushindwa kustahimili...

Tekelezeni miradi bila kuichafua Serikali-REA

Na Veronica Simba - REA Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, kuhakikisha wanafanya...

Fahamu| Manyara yaongoza kwa kuwa na wanaume wengi

Na Mwandish Wetu, Gazetini Kulingana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yaliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Manyara ndiyo...

Rostam kuanza kuzalisha umeme Zambia

*Kuanza kwa kuwekeza Bilioni 250 Na Mwandishi Wetu, Lusaka Mfanyabishara wa Kimataifa, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza...

Visual| Mipango ya kuinua kilimo inavyosahaulika kwenye makaratasi Buchosa

Na Clara Matimo, Gazetini Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ina dhamira ya kuona sekta ya kilimo nchini ikipiga...

Visual| Kituo cha Maarifa Manyoni kinavyosaidia mapambano ya VVU

*Kamati ya Bunge ya Afya na UKIMWI yapongeza Na Nadhifa Omar, Singida Kituo cha Maarifa cha Manyoni mkoani Singida kimechangia katika mikakati ya Taifa ya utoaji...

Chart| Uchumi wa Tanzania wazidi kupaa mwaka 2023

Na Jackline Jerome, Gazetini Kulingana na takwimu mpya zilizotolewa mwaka huu na Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF), pato la Taifa la Tanzania kwa bei ya...

Rais Samia atunukiwa PHD India, aitoa kwa Watoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 10, 2023 ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa)...

Waziri Jafo akutana na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa ya miradi ya Mazingira

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa...