PWANI, TANZANIA
UNYANYAPAA na ubaguzi umetajwa kuwa bado ni kikwazo katika mapembano dhidi ya UKIMWI nchini.
Hayo yamebainishwa hivi karibuni kwenye Warsha ya siku tatu ya...
KUSUASUA kwa Uchumi ni miongoni mwa sababu ya migogoro kuanzia ngazi ya familia, na wakati mwingine kupelekea uwepo wa vitendo vya ukatili wa kijinsia...
Kutoka katika Ripoti ya Shirika la Haki Elimu Tanzania ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana ya Mwaka 2019 utafiti ulifanyika kuangalia athari anazozipata...
KESHO jumla ya wanafunzi 1,132,143 wataanza mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi (PSLE) kwa mwaka huu na idadi hiyo inatokana na shule 17,585 zilizoko...
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hadi kiufikia Jumamosi Agosti 28, 2021 jumla ya walengwa 304,603 wamepatiwa...
TUNAWEZA kukubaliana kuwa matukio ya wapendwa wetu kujiua yamekuwa yakiacha simanzi kubwa kwenye jamii, labda kuliko hata vifo vingine vya ghafla.
Ni changamoto ya maisha,...
CHANGAMOTO ya uhaba wa ajira imekuwa kaa la moto duniani kote, hasa kwa nchi zinazoendelea, ikiwamo Tanzania, huku wahanga wakubwa wakiwa ni vijana.
Aidha, ongezeko...