HIVI karibuni, bilionea mwenye jina kubwa nchini China, Sun Dawu, alifikwa na hukumu nzito ya miaka 18 gerezani.Mbali ya kifungo, kampuni yake imelazimishwa kulipa...
TUNAWEZA kukubaliana kuwa matukio ya wapendwa wetu kujiua yamekuwa yakiacha simanzi kubwa kwenye jamii, labda kuliko hata vifo vingine vya ghafla.
Ni changamoto ya maisha,...
MIAKA nane iliyopita, jina la Isabel dos Santos liliteka vichwa vya habari ndani na nje ya Afrika baada ya binti huyo wa Rais wa zamani wa Angola, Jose...
WIKI iliyopita, wachambuzi wa masuala ya kiusalama nchini Marekani walionya, wakisema zimebaki wiki chache tu Kundi la Taliban kurudi madarakani nchini Afghanistan.
Ikumbukwe kuwa angalizo...
HATIMAYE Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemaliza kazi yake ya msingi, kumtangaza mshindi wa kinyang’anyiro cha urais, hatua iliyochukua siku tatu za kuhesabu kura.
Mgombea...
TATIZO la Ugonjwa wa Saratani ya Macho (Retinoblastoma) kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano limeanza kushamiri mkoani Mbeya kutokana na idadi...
DAR ES SALAAM, TANZANIA
KWA bahati mbaya, kipaumbele cha walio wengi huwa ni kupata nafasi ya ajira, shughuli yoyote inayoweza kumuingizia kipato.
Hivyo basi, asilimia kubwa...