*Asema GGML wameonyesha njia udhibiti wa VVU
*...ataka vijana kujihadhari
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete amepongeza kampeni maalum ya kuchangia fedha katika utekelezaji wa afua...
*Wadau wasema utafiti wa kina unahitajika ili kupata suluhu
Na Jackline Jerome, Gazetini
Vijiji 25 wilayani Same mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania yamegauka kuwa maskani ya...
Na Immaculate Makilika – MAELEZO
Takwimu zinaeleza kuwa miji inakadiriwa kuzalisha asilimia 80 ya ukuaji wote wa uchumi. Hivyo hakuna shaka kuwa Mji wa Serikali nchini Tanzania ambao...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika kuhakikisha kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yanadhibitiwa, jamii imeaswa kuelimisha watoto na vijana juu ya athari zitokanazo na...
*Serikali iongeze nguvu vijijini
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya Watoto nchini Tanzania ni...
Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwandishi Faraja Masinde kutoka tovuti ya www.gazetini.co.tz inayo chini ya Gazetini Communications ni kati ya waandishi wa habari 91 waliopitishwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshirikiana na wadau mbalimbali likiwemo Jeshi la...
Na Faraja Masinde, Gazetini
TAFITI mbalimbali za afya zimethitisha kuwa chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili hadi tatu kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Tanzania, kama zilivyo nchi zingine za Afrika, imeendelea kugubikwa na changamoto ya uhaba wa ajira, hasa kwa kundi la vijana na...