Ripoti ya Utafiti juu ya Upataji Elimu ya Awali kwa Watoto wenye Ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa Septemba, 2021 na Shirika la Haki Elimu Tanzania uliohusisha maeneo matatu...
Tatizo la Dawa za Kulevya lina madhara makubwa katika Maisha ya wananchi, uwezo wa raslimali watu na maendeleo endelevu ya nchi.
Kwa kutambua athari hizo...
MIEZI michache iliyopita, klabu ya Yanga katika Mkutano Mkuu wake iliwasilisha kwa wananchama wake mabadiliko 10 yatakayofanyika katika Katiba yake.
Ifahamike kuwa hiyo ni hatua...
Akichambua ripoti ya utafiti uliofanyika juu ya maambukizi ya VVU Tanzania (Tanzania HIV Impact Survey) 2016-2017, Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dar es...
PWANI, TANZANIA
UNYANYAPAA na ubaguzi umetajwa kuwa bado ni kikwazo katika mapembano dhidi ya UKIMWI nchini.
Hayo yamebainishwa hivi karibuni kwenye Warsha ya siku tatu ya...
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kawaida kukutana na wanafunzi hususan wa elimu msingi wakiwa na mabegi makubwa mgongoni wakati wa kwenda na kurejea...
TANZANIA iko kwenye mfululizo wa kueleza mafanikio yaliyopatikana kwa miaka 60 tangu ilipopata Uhuru wake Desemba 9, 1961.
Katika kuelekea kilele cha miaka 60 ya...