27.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini

Infographic| Tanzania ilivyonufaika na Trilioni 1.3

Kwa sasa unaweza kusema ni kama vyuma vimeachia! Hii ni kutokana na miradi yenye thamani ya Sh trilioni 1.3 itakayotekelezwa na Serikali ya Rais...

Ukuaji wa Shughuli za Uchumi, Robo ya Pili ya Mwaka 2021

Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2021, Shughuli ya Habari na Mawasiliano nchini ilikuwa na...

Infographic| Jitihada za kutokomeza Saratani ya Mlango wa Kizazi Tanzania

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Saratani ni mabadiliko ya ukuaji wa seli au chembechembe hai na...

Infographic| Ukosefu wa elimu ya upangaji bajeti inavyovuruga familia

KUSUASUA kwa Uchumi ni miongoni mwa sababu ya migogoro kuanzia ngazi ya familia, na wakati mwingine kupelekea uwepo wa vitendo vya ukatili wa kijinsia...

Visualization| WaterAid inavyojali afya, usafi Dar es Salaam

KATIKA kuadhimisha Siku ya Kunawa Mikono Duniani, shirika lisilo la kiserikali la WaterAid Tanzania, limekabidhi vituo 12 vya kunawia mikono kwenye maeneo tofauti jijini...

Visualization| WaterAid inavyokumbusha umuhimu wa maji

Ripoti mpya ya Shirika la Afya Dunaini(WHO) na Shirika la Kuhudumia Watoto Ulimwenguni (UNICEF), iliyotolewa kwenye Siku ya Kunawa mikono Duniani, inaonyesha kwamba...

Sensa 2022| Fahamu idadi ya Watoto Tanzania kwa umri

Na Faraja Masinde, Gazetini Agosti 23, mwaka huu Tanzania inatarajia kufanya Sensa ya Watu na Makazi ikiwa ni sensa ya sita kufanyika tangu Muungano wa...

Ripoti| Wasichana Kidato cha Nne wanaongoza kuwa na wapenzi shule

Kutoka katika Ripoti ya Shirika la Haki Elimu Tanzania ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana  ya Mwaka 2019 utafiti ulifanyika kuangalia athari anazozipata...

Visual| Mkwanja wa Azam na msisimko wake TPL 2021-22

HAKUNA namna nyingine zaidi ya uwekezaji wa maana ndipo maendeleo ya mchezo wa soka yaweze kuonekana. Uwekezaji si tu huziwezesha klabu kumudu gharama za...

Infographic| Makinda wa mishahara minono England

INAFAHAMIKA kuwa ndiyo ligi maarufu na tajiri zaidi duniani, zikithibitisha hilo kwa namna klabu zake zinavyotumia fedha nyingi kwenye soko la usajili barani Ulaya.  Aidha,...

Visualization: Kilimo kinavyohatarisha mazingira

SEKTA ya kilimo imekuwa na tija kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingi barani Afrika, ikiwamo Tanzania. Huku kikiwa chanzo cha ajira kwa asilimia zaidi ya...

Infographic| Homa ya uti wa mgongo ni nini?

KWA sasa, ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ni tishio barani Afrika, kwa mujibu wa Shirika la Afya la Kimataifa (WHO). Jamhuri ya...

Recent articles

spot_img