22.9 C
New York

Profesa Janabi ashinda Mkurungenzi WHO Kanda ya Afrika

Published:

Na Mwandishi Wetu

Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Mshauri wa Rais Samia Suluhu Hassan  katika masuala ya afya, Profesa Mohammed Janabi, ameshinda nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika  katika uchaguzi uliofanyika leo Mei  18, 2025, Geneva, Uswizi.

Prof. Janabi ametetea nafasi hiyo iliyokuwa inashikiliwa na Mtanzania  marehemu Dk. Faustine Ndegulile.

Prof.Janabi amewashinda wagombea wengine wanne  ambao ni N’da Konan Michel ( Ivory Coast), Mohammed Lamine (Guinea)Dk Boureima Hama Sambo (Niger) na  Professa Moustafa Mijiyawa wa Togo.





Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img