Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu mara mbili ya wale walioko mijini.

Aidha, kulingana na matokeo hayo ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu @nbs.tanzania kundi la Watanzania wenye mwaka 0 hadi 19 ambao ni 32,672,377 ndilo lenye watu wengi zaidi ambao ni zaidi ya nusu ya watu wote 61,741,120.
Zaidi soma #Usanifu wetu hapo juu.