Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika juhudi za kuhakikisha Tanzania inakuwa salama dhidi ya athari za dawa za kulevya, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, inaendelea...
*Kada wa CCM amuomba Wasira washuke kuona yanayoendele, Mwenyekiti Ongujo atoa kauli
Na Mwandishi Wetu, Rorya
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka wilayani Rorya mkoani Mara, Baraka Otieno amekiomba chama hicho kuunda chombo maalumu cha kuchunguza mwenendo...