26.6 C
New York

Rais wa zamani Zambia, Edgar Lungu afariki dunia

Published:

Na Mwandishi Wetu

Rais   wa  zamani  wa Zambia, Edgar Lungu, amefariki dunia  akiwa na umri wa miaka 65 baada ya kuugua kwa muda mfupi.

 Lungu amefariki akita latina matibabumaalum kwenye hospital ya Mediclinic Medforum nchini Afrika Kusini.

Aliongoza Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, baada ya kuchukua mikoba hiyo kutoka kwa Michael Sata ambaye ni marehemu hivi sasa.

Mwaka 2021, Lungu alishindwa katika uchaguzi mkuu na mpinzani wake wa muda mrefu, Hakainde Hichilema ambaye sasa ni Rais wa Zambia.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img