Koffi Olomide: Maisha ya siasa, alivyokimbia ‘figisu’ za Uchaguzi – [7]
KINSHASA, DRC KAMA ilivyo kwa wanamuziki wengi duniani, Koffi naye amewahi mara kadhaa kuonekana kwenye ulingo wa siasa tangu mwaka 1992 alipotumbuiza nchini Gabon alikoalikwa na Rais Omar Bongo Ondimba. Baadaye, alionekana nchini Jamhuri ya Congo alikokwenda kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi, kisha akaibukia Liberia kumuunga mkono mgombea wa urais, George Weah, katika Uchaguzi … Continue reading Koffi Olomide: Maisha ya siasa, alivyokimbia ‘figisu’ za Uchaguzi – [7]
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed