JET yatoa wito wa hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Na mwandishi wetu, Gazetini CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kimetoa wito kwa jamii, Serikali na wadau mbalimbali kuongeza kasi ya hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi huku kikionya kuwa dunia tayari inaonyesha dalili hatari za uharibifu wa mazingira. Katika ujumbe wake kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 … Continue reading JET yatoa wito wa hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi