Mambo 5 yaliyoipa Arsenal ubingwa wa EPL

LONDON, Uingereza MATESO yamekwisha. Baada ya miaka 22 ya kusubiri, Arsenal imetwaa taji la Ligi Kuu ya England (EPL). Taji hilo limetua Emirates baada ya washindani wao wakubwa msimu huu, Manchester City, kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Bournemouth. Kwa sare hiyo, Arsenal sasa wamefikisha pointi 82, ambazo Man City yenye 78 haiwezi kuzifikia hata … Continue reading Mambo 5 yaliyoipa Arsenal ubingwa wa EPL