Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-5

Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale KWA mujibu wa kifungu cha 15, mtoto aliye chini ya umri wa miaka 18 hawezi kushikiliwa kikamilifu kwa adhabu zinazohusiana na uhalifu mkubwa, ikiwa ni pamoja na adhabu ya kifo. Kifungu cha 26(2) kinasisitiza kwamba mahakama lazima ichukue umri kama kipimo cha kupunguza au kubadilisha adhabu, ikizingatia uwezo wa mtoto … Continue reading Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-5