Mwangwi wa sheria| Polisi haihusiki na kesi hizi-2
WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako. Mathalan, kwenda polisi kwa suala la madai ni kosa ambalo limekuwa likifanywa na walalamikaji wengi, bila kufahamu kuwa chombo hicho kinashughulika na makosa ya jinai tu. GAZETINI imefanya mahojiano na Wakili Baraka Asajile Gwakabake, ambaye anafafanua kwa kina … Continue reading Mwangwi wa sheria| Polisi haihusiki na kesi hizi-2
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed