Tanzania yapoteza hekta 460,000 za misitu kila mwaka, sheria zatajwa
Na Mwandishi Wetu, Gazetini TANZANIA inakabiliwa na ongezeko kubwa la upotevu wa misitu, hali inayochochea ukame, kukauka kwa vyanzo vya maji na kuharakisha mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), zaidi ya hekta 460,000 za misitu hupotea kila mwaka kutokana na uvunaji holela wa miti, matumizi makubwa ya … Continue reading Tanzania yapoteza hekta 460,000 za misitu kila mwaka, sheria zatajwa
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed