Mila kandamizi zinavyotesa wanawake wenye changamoto za uzazi, IVF yaibua tumaini jipya
Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wakati dunia ikibadilika kwa kasi kupitia maendeleo ya teknolojia na tiba za kisasa, barani Afrika bado kuna mamilioni ya wanawake wanaoendelea kuteseka kutokana na mila na desturi kandamizi zinazohusiana na changamoto za uzazi. Katika jamii nyingi, hasa zile za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, suala la kuchelewa kupata ujauzito limebaki kuwa chanzo … Continue reading Mila kandamizi zinavyotesa wanawake wenye changamoto za uzazi, IVF yaibua tumaini jipya
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed