Kutembea haraka hupunguza vifo vya mapema

LONDON, Uingereza KUTEMBEA haraka, walau kwa dakika 15 tu kila siku, huimarisha afya ya moyo na kuepusha vifo vya mapema kwa asilimia 19, utafiti umebaini. Utafiti huo umefanywa nchini Marekani na kuhusisha watu zaidi ya 79,850 kutoka katika familia za kipato cha kati. Majibu yake yameonesha kuwa kutembea haraka kwa dakika 15 ni bora zaidi … Continue reading Kutembea haraka hupunguza vifo vya mapema