Urafiki wa wanasiasa, waganga wa kienyeji

KAMPALA, Uganda ACHANA na vurugu, wizi wa kura na hata ‘figisu’ zingine. Kwa miaka mingi, huenda taswira nyingine kubwa zaidi ya siasa za Afrika ni namna zilivyotawaliwa na vitendo vya rushwa. Lakini, nje ya hayo, bila shaka si jambo geni kwako kusikia wanasiasa wa Afrika wakihusishwa na imani za kishirikina, wakiamini zina nafasi kubwa katika … Continue reading Urafiki wa wanasiasa, waganga wa kienyeji