PSG v CHELSEA; Fainali ya historia Kombe la Dunia

NEW JERSEY, Marekani JUMAPILI ya wiki hii, PSG watashuka dimbani kumenyana na Chelsea katika fainali ya kukata na shoka ya Kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu. Ni mchezo wa mwisho baada ya mwezi mmoja wa michuano hiyo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).Mashindano hayo yalikuwa na mengi ya kushangaza, kubwa ikiwa ni Manchester … Continue reading PSG v CHELSEA; Fainali ya historia Kombe la Dunia