Henderson njiani kurudi England

LONDON, England WAKALI wa London, Brentford, wako mbioni kukamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Liverpool, Jordan Henderson. Henderson mwenye umri wa miaka 35, ni mchezaji huru baada ya kuachana na Ajax mwanzoni mwa wiki hii.Kwa mujibu wa ripoti, nyota huyo atajiunga na Brentford kwa mkataba wa miaka miwili. Brentford wamemsajili ili kuziba pengo la … Continue reading Henderson njiani kurudi England