Pogba amwaga machozi akisaini Monaco

MONACO, Ufaransa KATIKA video iliyosambaa mitandaoni, kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba, anaonekana akimwaga machozi wakati akisaini mkataba wa kujiunga na Monaco ya Ligue 1. Jana, Monaco ilimpa mkataba wa miaka miwili nyota huyo mwenye umri wa miaka 32, ambaye ni mshindi wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 akiwa na … Continue reading Pogba amwaga machozi akisaini Monaco