TACAIDS yajipanga kutokomeza UKIMWI ifikapo 2030
Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imeeleza dhamira yake ya kutokomeza UKIMWI ifikapo mwaka 2030, kupitia mikakati madhubuti ya kupunguza maambukizi mapya ya VVU nchini. Akizungumza Juzi jijini Dodoma, katika kikao cha watumishi wa TACAIDS, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Dk. Catherine Joachim, amesema utafiti wa mwenendo wa UKIMWIwa 2022/23 umeonyesha kupungua kwa … Continue reading TACAIDS yajipanga kutokomeza UKIMWI ifikapo 2030
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed