WWF yaongoza kampeni ya kuulinda mlima Kilimanjaro
Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA jitihada za kulinda mustakabali wa mazingira na vyanzo vya maji, wadau wa mazingira wakishirikiana na jamii ya Moshi wameanzisha kampeni ya upandaji miti inayolenga kurejesha uoto wa asili unaozunguka Mlima Kilimanjaro. Kupitia ushirikiano huo unaojumuisha Shirika la Kimataifa la Uhifadhi na Mazingira (WWF) pamoja na sekta binafsi, zaidi ya miti … Continue reading WWF yaongoza kampeni ya kuulinda mlima Kilimanjaro
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed