Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-4

Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale IFAHAMIKE kuwa kukiri kosa hakufungi mjadala wa kisheria. Kukiri kosa ni kitendo cha mshitakiwa kukubali kuwa alihusika katika kitendo cha jinai, lakini kukiri hakufanyi kesi kuisha au kuondoa wajibu wa mahakama kuchunguza ukweli. Sheria inatambua kwamba: Kukiri kosa kunapaswa kuwa kwa hiari kamili, bila shinikizo, vitisho, au udanganyifu kutoka kwa … Continue reading Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-4