Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-2
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale KIFUNGU cha 196 kinaweka msingi wa kosa la murder. Lakini kifungu cha 203 ndicho kinachoeleza kwa kina uwiano wa sababu kati ya kitendo cha mshtakiwa na kifo kilichotokea. Mahakama haitoshi kusema kulikuwa na ugomvi na baadaye mtu akafa. Hilo ni hadithi, si ushahidi. Kisheria, upande wa mashtaka lazima uthibitishe mambo … Continue reading Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-2
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed