Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-1

Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale MAUAJI yanafafanuliwa kisheria, si kwa maoni ya jamii, na kifungu husika ni cha 196. ‘Murder’ hutokea pale mtu anaposababisha kifo cha mwingine kwa nia ovu (malice aforethought). Bila nia hiyo, kosa halisimami kama murder hata kama mtu amekufa. Hapa ndipo wengi hukosea. Kifo cha mtu, kwa macho ya jamii, kinaweza … Continue reading Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-1