OSHA kuiwezesha shule ya Kambangwa vifaa vya kujifunzia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeahidi kuiwezesha Shule ya Sekondari Kambangwa iliyopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa kuipatia vifaa muhimu vya kujifunzia zikiwemo kompyuta, kichapishi (printer) pamoja na kujenga uzio wa shule hiyo. Ahadi hiyo imetolewa na Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda wakati akihutubia katika … Continue reading OSHA kuiwezesha shule ya Kambangwa vifaa vya kujifunzia