Chupa za kioo changamoto kwa mazingira, TBL, PETPRO waja na suluhisho
Na Jonathan Benedict, Gazetini Kila mwaka, maelfu ya tani za chupa za kioo hutupwa nchini Tanzania baada ya matumizi. Tafiti za mazingira zinaonyesha kuwa chini ya asilimia 10 ya taka hizo ndizo hukusanywa na kuchakatwa upya, huku zaidi ya asilimia 90 zikibaki kutupwa dampo, mitaani na katika vyanzo vya maji. Chupa hizo huchukua mamia ya … Continue reading Chupa za kioo changamoto kwa mazingira, TBL, PETPRO waja na suluhisho
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed