Maswali 6 yanayosubiri majibu EPL 2025-26
LONDON, England MSIMU ujao wa 2025-26 uko njiani, ukitarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi ujao. Ni Ligi Kuu ya England (EPL), michuano ya soka inayotajwa kufuatiliwa zaidi katika ulimwengu wa mchezo huo wa mpira wa miguu. Huku Liverpool ikitwaa taji, Arsenal ilimaliza msimu uliopita ikiwa nafasi ya pili kwa mara nyingine baada ya kufanya hivyo pia … Continue reading Maswali 6 yanayosubiri majibu EPL 2025-26
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed