Taifa Stars yawekewa bilioni moja CHAN
Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeahidiwa kiasi cha fedha shilingi bilioni moja kama zawadi, ikifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) inayotarajiwa kuanza Agosti 2 – 28, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na … Continue reading Taifa Stars yawekewa bilioni moja CHAN
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed