Pioli atimka Saudia, arudi Italia
ROMA, Italia BAADA ya msimu mmoja wa kuinoa Al-Nassr, kocha raia wa Italia, Stefano Pioli, ameondoka klabuni hapo.Pioli mwenye umri wa miaka 59, amerejea nyumbani, Italia, na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Fiorentina kwa mkataba wa miaka mitatu. Aliwahi kucheza Fiorentina kuanzia mwaka 1989 hadi 1995, kabla ya kuinoa kwa miaka miwili (2017 … Continue reading Pioli atimka Saudia, arudi Italia
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed