Kuna nini Trump na viongozi Afrika?
WASHINGTON DC, Marekani JUMATANO ya wiki hii, Rais wa Marekani, Donald Trump, alifungua Mkutano wa siku tatu na viongozi wa nchi tano za Afrika mjini Washington DC. Wageni wa Trump katika Mkutano huo ni marais wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal. Kwa wajuzi wa masuala ya siasa, Mkutano huo haukuwa na taswira ya misaada … Continue reading Kuna nini Trump na viongozi Afrika?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed