ICC yainyooshea kidole Sudan

DUBAI, UAEMAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imelaani kinachoendelea mjini Darfur, Sudan, ikieleza kuwa kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.Tangu Aprili, 2023, yamekuwapo mapigano makali kati ya jeshi la Serikali na wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF).Sasa, uchunguzi wa ICC umebaini kuwa uhalifu wa kivita ni wa kiwango cha kutisha katika … Continue reading ICC yainyooshea kidole Sudan